Search

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Sekretari Mwisho, Dar Es Salaam (350 sqm)

Sh. 150,000,000

Description

🏡 NYUMBA INAUZWA – KINYEREZI SEKRETARI MWISHO, DAR ES SALAAM

Unatafuta nyumba nzuri yenye nafasi kubwa katika eneo tulivu na linalofikika kwa urahisi? Hii ni fursa yako!

✨ Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 3 vya kulala (1 Master Bedroom)
✅ Sebule kubwa
✅ Dining
✅ Jiko la kisasa lenye makabati
✅ Choo cha wageni (Public Toilet)

🌳 Vitu vya Ziada:
✅ Vyumba vya Boy’s Quarter
✅ Mabanda ya kufugia mbwa
✅ Kisima cha maji (mashine ya kuvuta maji imefungwa)
✅ Eneo la kiwanja takribani SQM 350

📍 Location: Kinyerezi Sekretari Mwisho – eneo zuri na tulivu, linafikika kwa urahisi kutoka stendi bila usumbufu.

💰 Bei: TSh 150,000,000 (Inajadiliwa kwa mnunuzi mwenye nia ya kweli.)

📞 Kwa maelezo zaidi na kupanga viewing:


Dalali Wako Wakishua
Miliki Kesho Yako Leo!!!

Dalali Tabata

dalaliwakishua

@dalaliwakishua

View Listings

Similar properties in Kinyerezi, Dar Es Salaam

Dalali Tabata