2 Bedrooms House for Rent in Kcmc Moshi, Kilimanjaro

Amenities
Description
📍Habari ndugu mteja wa Nyumba moshi mjini , nakuletea Nyumba ya bedrooms 2 za kulala sebule na jiko la makabati na shelf , na public toilet ,ndani ya geti zipo Nyumba mbili tuu Kila moja Ina mita yake ya Umeme na mita yake ya maji , Nyumba ni nzuri ya kisasa ipo karibia na Barabara ya lami , Nyumba ipo kcmc Moshi mjini .
📍Kodi Kwa mwezi ni 350,000x6 , kuona Nyumba ni 10,000 , malipo ya Dalali ni MWEZI mmoja .
📍Nyumba ni nzuri na ya kisasa
📞📞0672701329📞📞
#moshirentaladvertising
#100millionsviews
#dalalimoshi_nyumba
#viralvideo
#fyppppppppppppppppppppppp















