2 Bedrooms House for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam









Amenities
Description
Nyumba MPYA Inapangishwa KIMARA MWISHO dk 7-10 Kwa Mguu kutoka main road
Nyumba inakuwa tayari Mwisho wa Mwezi, Kuona na kulipia ruksa, Mafundi wapo site
STAND ALONE
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE
Master Bedrooms
Sebule Kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku Yako/ Maji Yako
Full tilles, gypsum & aluminum
Iko kwenye fenci ila hailazi gali
Usalama wakutosha
Kodi 400,000/= Kwa mwezi, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :-
0712528820
0685221354
Mr.















