2 Bedrooms House for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

Amenities
Description
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa
Mahali sinza
Bei 800,000/=
Miezi 6
Nyumba ni nzuri sana
Maji✅ ( bill)
Umeme✅ (inajitegemea)
Nb: unalipia miezi 6 plus mwezi mmoja wa madalali kimbia chap nyumba ni nzuri inagusa lami kwa ajili ya kuishi…















