Search

2 Bedrooms House for sale in Kibaha Kwa Matiasi, Pwani

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Kibaha, Pwani
2 hours ago
Sh. 28,000,000

Description

NYUMBA INAUZWA MILIONI 28 MAONGEZI YAPO

KIBAHA KWA MATIASI MKOA PWANI

UMBALI WA KUTEMBEA DK CHACHE KUTOKA STENDI KWA MATIASI

TSH 28000000 MAONGEZI YAPO

SIFA ZA NYUMBA
INA CHUMBA NA SEBULE NA CHOO NDANI ANAISHI MWENYE NYUMBA.

NA CHUMBA SINGLE KINA MPANGAJI

PIA KUNA CHUMBA NA SEBULE BADO KUMALIZIA

UKUBWA 20X30 UNAJENGA NYUMBA NYINGINE KUBWA MBELE.

BARABARA INAFIKA HADI KWENYE NYUMBA.
UMEME UPO
MAJI YAPO

SERVICE CHARGE TSH 30,000

What saapp Number 0689-547258