2 Bedrooms House for sale in Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam

Type
House
Bedrooms
2
Plot Size
1260 SQM
Nearest Road
500m
Amenities
Description
ENEO KUBWA
LINAUZWA - KIGAMBONI KIBADA, DAR ES SALAAM O
Fursa adhimu sana kwa wawekezaji au wanaotafuta kujenga dream house yao kwenye mazingira ya kishua na yaliyotulia
Kigamboni Kibada.
• Location: Kigamboni Kibada, Dar es Salaam
V Kilomita 7 tu mpaka Ferry
VI
Kilomita 6 mpaka Darajani
V Meta 500 tu mpaka barabara ya lami
; Eneo tayari limeendelezwa kabisa:
Lina nyumba ya vyumba 2 vya kulala
V Sebule na jiko
V Limezungushiwa fence
V Lina fremu 5 za biashara
V Tayari lina maendeleo yote muhimu
Ukubwa wa eneo:
V
Square Meter 1,260
VI
Kiwanja kimepimwa
V
Kina hati/nyaraka za wizara
• Huduma zote zinapatikana:
V Umeme
V Maji ya DAWASA
V Kisima cha maji
V Mtaa mzuri wa kishua na uliopangika
* Bonus kubwa:
Unanunua eneo kwa bei ya kiwanja tu lakini unapata bure nyumba, fence pamoja na fremu za biashara zilizopo ndani yake!
$ Bei: TZS Milioni 135 tu
6o Service Charge: TZS 30,000 kwa site visit
& Call/WhatsApp: 0763954837 & 0628505896















