Search
-
-

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

Type

House

Bedrooms

2

Description

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/01/2026 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
AIR-CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
PARKING
GARDEN
INAYOPANGISHWA NI YA KWANZA SIO GOROFANI NDUGU MTEJA

BEI NI 500,000/= X 6

ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA TAHADHARI (CAUTION MONEY) JUMLA INAKUA MIEZI 6 NDUGU MTEJA

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

0713320608
0686334182

Similar properties in Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 250,000/month

*APARTMENT NZURI SANA MPYAA🔥* *NDANI YA FENCE* *ZINAPANGISHWA* *KIMARA TEMBONI* 💥 *KODI YAKE 250K...

2 Bedrooms Apartment for Rent in Kimara Korogwe Kilungure, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 350,000/month

#NEW APARTMENT MPYA KABISA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA #KUINGIA TAR 1/5/2026 KUONA KUSUBILIA RUK...

2 Bedrooms Apartment for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 350,000/month

(350,000X6)KIMARA TEMBONI DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD —— APARTMENT YA KISASA ZINAPANGISHWA ...

2 Bedrooms House for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 300,000/month

(300,000X6)KIMARA TEMBONI DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD ___________________________________...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 350,000/month

KODI 350,000/=×6 KIMARA MWISHO APARTMENT CLASSIC FOR RENT Location Kimara Mwisho ipo umbal dakika ...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 250,000/month

*APARTMENT NZURI SANA MPYAA🔥* *NDANI YA FENCE* *ZINAPANGISHWA* #KIMARA_TEMBONI* 💥 *KODI YAKE 250K...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 250,000/month

*APARTMENT NZURI SANA MPYAA🔥* *NDANI YA FENCE* *ZINAPANGISHWA* *KIMARA TEMBONI* 💥 *KODI YAKE 250K...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 250,000/month

*APARTMENT NZURI SANA MPYAA🔥* *NDANI YA FENCE* *ZINAPANGISHWA* *KIMARA TEMBONI* 💥 *KODI YAKE 250K...

2 Bedrooms Apartment for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 400,000/month

💥 APARTMENT KALI SANA YA KISASA ZINAPANGISHWA KIMARA MWISHO WAHI MAPEMA NDUGU MTEJA HII SIO YA KUKO...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Bucha, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 220,000/month

🇹🇿 APARTMENT YA KISASA NZURI SANA INAPANGISHWA – KIMARA BUCHA 📍 Kimara Bucha 🕒 umbali wa km 1 kutok...

2 Bedrooms Apartment for Rent in Kimara Korogwe Kilungure, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 350,000/month

#NEW APARTMENT MPYA KABISA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA #KUINGIA TAR 1/5/2026 KUONA KUSUBILIA RUK...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Suka, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 150,000/month

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA KM2 KUTOKA LAMI ---- Chumba master Seble kubwa Kibaraza chako...

1 Bedroom House/Apartment for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 250,000/month

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI ZINA KUWA TAYARI TAR 10.5.2026 K...

1 Bedroom House/Apartment for Rent in Kimara Stop Over, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 250,000/month

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA STOP OVER KM 1 TOKA MAIN ROAD USAFIRI WA BODA BUKU BEI NI ...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 500,000/month

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI ZINA KUWA WAZI TAR 15.5.2026 KUON...

Find What You're Looking for Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam