Office Space for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

Description
NYUMBA INAPANGISHWA KWA AJILI YA OFISI TU
‘@
Bei 600.000 kwa mwez
@
Mahali sinza
@
Malipo miez 6 Na dalali 7
@
Ni nyumba ya vyumba 3 sebule choo
@
Chumba kimoja master
@
Ipo kwenye fensi no parkingi
@
Ipo karibu sanaaaa na barabarani
@
KARIBUNI sanaaa OFISIN kwetu sinza LEGO
@
Gatama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya Sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687















