Plot for sale in Buhongwa, Mwanza

Amenities
Description
Kiwanja kinauzwa milioni 45
Kipo buhongwa center kabisaa maeneo ya michungwani..barabara ya kuelekea bulale
Kiwanja kina ukubwa wa hatua 40 kwa 30
Kiwanja kinafaa sana biashara na makazi
Kiwanja kina barabara kubwa mbili juu na chini
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711















