Plot for sale in Jambiani, Zanzibar - Unguja South









Nearest Road
1.5km
Amenities
Description
KIWANJA KINAUZWA JAMBIANI
#unguja #zanzibar
Umbali mpaka Barabarani 1.5 Km
Umbali mpaka Beach/Pwani 2Km
Ukubwa wa Kiwanja Ft 70x60
Bei Tsh 8 Milioni nane
NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani 2Km
What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake















