Search

Plot for sale in Kigamboni Malaika Beach, Dar Es Salaam sqm 2100

video thumbnail
Sh. 500,000,000

Plot Size

2100 SQM

Nearest Road

300m

Description

KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI, MALAIKA BEACH

Fursa ya kipekee ya kuwekeza katika eneo lenye thamani kubwa karibu na bahari!

📍 Mahali: Kigamboni – Malaika Beach

✅ Sifa za Kiwanja

• Ukubwa: SQM 2,100
• Kimepimwa na kina Hati Rasmi (Hati ya Wizara)
• Kiwanja cha pili kutoka barabara kuu
• Mita 300 kutoka Beach
• Kilomita 4 kutoka Daraja la Nyerere
• Kilomita 3 kutoka Feri ya Kigamboni

💰 Bei: TZS Milioni 500 (Mazungumzo yapo.)

🌟 Fursa za Uwekezaji

Kiwanja hiki kinafaa kwa:

• 🏨 Hoteli
• 🏡 Airbnb
• 🎉 House Party Venue
• 🏠 Nyumba ya makazi ya kifahari

Usikose fursa ya kumiliki kiwanja katika eneo la kimkakati linalokua kwa kasi na lenye mvuto mkubwa wa uwekezaji.

📞 Wasiliana nasi: 0769 554 221
📍Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

📍Viwanjakigamboni
📍Nyumbakigamboni
📍Dalalikigambonimbavu
📍Kigamboniinzima