Plot for sale in Madale Polisi, Dar Es Salaam sqm 600

Plot Size
600 SQM
Nearest Road
200m
Amenities
Description
🔥 BIG DEAL! 🔥 Madale Polisi
Kiwanja cha kisasa chenye ukubwa wa Square Meters 600 kinauzwa kwa TSh Milioni 65 tu! Madale Polisi kimezungushiwa fensi
✅ Kina Hati Miliki kutoka Wizara ya Ardhi
✅ Mita 200 tu kutoka barabara ya lami
✅ Dakika 5 kwa miguu kutoka lami hadi eneo husika
✅ Kinafaa kwa makazi ya familia
✅ Kinafaa kwa uwekezaji wa Apartment
✅ Kinafaa kwa biashara ya Airbnb
Hii ni fursa adhimu kwa wale wanaotafuta eneo zuri la kuishi au kuwekeza katika sekta ya nyumba za kupangisha.
📞 Piga simu sasa: 0787705274
Usikose nafasi hii ya kipekee!















