Search

Plot for sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam sqm 751

Sh. 105,000,000

Plot Size

751 SQM

Nearest Road

2km

Description

🏡✨ KIWANJA KIZURI KINAUZWA TABATA SEGEREA VIWANJA VYA BANK DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿 ✨🏡

Unatafuta sehemu nzuri ya kujenga makazi yako au kufanya uwekezaji wa apartments? Hiki hapa! 👇

📍 TABATA SEGEREA VIWANJA VYA BANK
🚗UMBALI NI DAKIKA 2 KUTOKA MAIN RAOD

📐 UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 751
📑UMILIKI - HATI MILIKI YA WIZARA YA ARDHI

🔴Je Unahitaji kiwanja ambacho kipo jirani na lami basi kiwanja hiki kitakufaa mteja wangu,
Kwa kiwanja kipo karibu na balabala hii itakupa ulahisi kufika katika makazi yako pia balabala zake ni nzuri hakuna milima wala mabonde hapa inakupa ulahisi wewe mteja kufika kwenye makazi yako,kiwanja hiki kinafaa kwa uwekezaji hasa Apartments au bnb Kwa maana location yake ni nzuri sana pia hata kwa makazi Kama unahitaji kiwanja hiki basi Fanya kuwahi kimbilia fulsa hii isikupite

✅Njoo ufunje ujenge Apartments kali
✅Tambarare kabisa
✅Huduma za kijamii zipo Kama umeme,shule,masoko,
✅Neighborhood nzuri sana

💰 BEI NI 105 million Tu

Fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji wa uhakika! 🔥

📞 Muhitaji piga:

#Tabata #KiwanjaKinauzwa #DarEsSalaam #RealEstateTanzania dalaliyohanakinyereziApartments Uwekezaji Kiwanja TabataKinyerezi Nyumba LandForSale TanzaniaRealEstat

DALALI WA VIWANJA TANZANIA 🇹🇿

dalali_john_viwanja

@dalali_john_viwanja

View Listings

Similar properties in Segerea, Dar Es Salaam

Plot for sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam sqm 1040
1

Sh. 50,000,000

For Sale1,040 sqm
Segerea, Dar Es Salaam
Plot for sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam sqm 700
1

Sh. 45,000,000

For Sale700 sqmNegotiable
Segerea, Dar Es Salaam
Plot for sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam sqm 751
1

Sh. 105,000,000

For Sale751 sqm
Segerea, Dar Es Salaam
Plot for sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam sqm 751
1

Sh. 105,000,000

For Sale751 sqm
Segerea, Dar Es Salaam
Plot for sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam sqm 2720
1

Sh. 450,000,000

For Sale2,720 sqm
Segerea, Dar Es Salaam
3 Bedrooms House for sale in Tabata Segerea Sherry Oilcom, Dar Es Salaam
1

Sh. 320,000,000

For Sale3 beds2 bathshasTitleDeed
Segerea, Dar Es Salaam
3 Bedrooms House for sale in Tabata Segerea Sherry Oilcom, Dar Es Salaam
1

Sh. 320,000,000

For Sale3 beds2 bathshasTitleDeed
Segerea, Dar Es Salaam
DALALI WA VIWANJA TANZANIA 🇹🇿