Plot for sale in Tabata Segerea Kwa Bibi, Dar Es Salaam sqm 580

Plot Size
580 SQM
Amenities
Description
KIWANJA KIZURI CHA KUJENGA APARTMENTS ZA KISASA KINAUZWA – TABATA SEGEREA KWA BIBI DAR ES SALAAM TANZANIA
Unatafuta sehemu nzuri ya kujenga makazi yako au kufanya uwekezaji wa apartments? Hiki hapa!
Tabata Segerea Kwa Bibi
m Sqm 580
kiwanja kina fully Documented
Kiwanja kipo mtaa mnzuri sana
Tambarare kabisa
Kiwanja kipo ndani ya fence ni jirani na lami unatembea tu
kiwanja kinafaa kwa Apartments au bnb
mHakuna maji wala bonde
Neighborhood nzuri sana
BEI NI 60Million Tu.
Fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji wa uhakika!
survey charge 50,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
kwa mawasiliano
O677370515 whatsapp
O688991244 normal call








