Search

Plots for sale in Kibaha Kwa Mathias Msangani, Pwani sqm 400

Kibaha, Pwani
22 days ago
Sh. 2,500,000

Plot Size

400 SQM

Nearest Road

500m

Amenities

Electricity
Water Supply
Near School
Near Paved Road

Description

🚨 OFFA OFFA OFFAAA.....USIKUBALI HII IKUPITE 🚨

🏡 Viwanja vinauzwa kwa bei nafuu mno!, Bei ya offa kwa viwanja vichache vilivyobakia

📍 Location: Kibaha kwa Mathias Msangani – Mtaa wa Madina, Mkoa wa Pwani.

✅ Eneo zuri na salama.
✅ Barabara nzuri, lami ipo.
✅ Shule ipo umbali wa takribani mita 500 tu.
✅ Umeme upo site.
✅ Maji yanapatikana kwenye nyumba za jirani.
✅ Huduma zote muhimu zinapatikana na eneo linafikika muda wote.

💥 Bei maalum ya offa
📐 SQM 400 (20×20) – Tsh 2,500,000 tu
📐 SQM 300 (15×20) – Tsh 1,800,000 tu

⚠️ Viwanja ni vichache sana, lakini wahitaji ni wengi!
Ukichelewa leo, unaweza kukosa nafasi hii.

📲 Piga simu au tuma WhatsApp sasa: 0784919453

Fanya uamuzi leo... Kesho unaweza kukuta bei imebadilika! 🔥
.
.
.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#home #business #regrann #sale #instamood