Plots for sale in Kibaha Maili Moja, Pwani
Nearest Road
900m
Installment
Available
Amenities
Description
๐ก JE, UPO TAYARI KUMILIKI ARDHI YENYE THAMANI INAYOKUA KILA SIKU?
๐ KIBAHA MAILI MOJA ndiyo fursa unayoisubiri!
๐ Eneo lipo mita 900 tu kutoka Barabara ya Lami (Maili Moja โ Baobab/Mapinga Road), mahali penye maendeleo ya haraka na thamani ya ardhi inayoongezeka kila mwaka.
๐ Kwa Nini Uchague Kibaha Maili Moja?
โ
Viwanja vimepimwa na kuidhinishwa
โ
Maji yanapatikana
โ
Umeme upo karibu
โ
Barabara za ndani zimefunguliwa vizuri
โ
Eneo lina mazingira bora ya makazi na uwekezaji
๐ฐ Anza Kumiliki kwa TZS 11,025,000 Tu!
๐ณ Malipo Rahisi
โ Lipa 50% tu kuanzia
โ Kamilisha salio ndani ya miezi 6
๐ SITE VISIT NI BURE!
Njoo ujionee maendeleo ya eneo, chagua kiwanja chako na uanze safari ya kumiliki mali isiyopungua thamani.
๐ Miradi Mingine Inayopatikana
๐ Kibamba Shule
๐ Kibaha Visiga
๐ Bagamoyo Kerege
๐ Kigamboni Kimbiji Puna
๐ Kigamboni Mwembe Mdogo
๐ข Ofisi: Mwenge Bamaga, Dora Tower โ 4th Floor
๐ 0626 783 900
๐ 0768 579 000
๐ฒ Piga Simu au Tuma WhatsApp Sasa!
๐ฅ Usisubiri bei zipande ndipo uanze kutafuta kiwanja. Chukua hatua leo, linda kesho yako kwa uwekezaji wa ardhi.
Perfect Property Co. Ltd โ Committed to Excellence.
#PerfectProperty #KibahaMailiMoja #WekezaLeo #ArdhiNiMali #realestatetanzania















