Plots for sale in Kiromo Chambezi, Pwani sqm 800

Plot Size
800 SQM
Nearest Road
5.5km — Bagamoyo Road
Installment
Available
Amenities
Description
Yaani Napenda kuwapa vitu vizuri sanaa.. Napenda kuwadekeza wateja wangu
.
.
Mradi huu upo kiromo-chambezi
.
.
Mradi huu upo umbali wa 5.5km kutoka lami ya Bagamoyo
.
.
Kila kiwanja hapa utapata kwa Tsh 3,500,000/= tu! Ukubwa wowote
.
.
Viwanja vinaanzia sqm 800s-500s vyote Bei Moja nagawa viwanja😊
.
.
Mradi umenyooka kama rula ni tambarale na umepimwa
.
.
Safari ya kupna mradi huu itakuwa mwisho wa mwezi huu
.
.
Jinsi ya malipo
.
.
Unaweza kulipa 350,000/= kwa kila mwezi kwa miezi 10
.
.
Au ukalipa Cash ( kiasi chote mara moja)
.
.
Kwa maelezo zaidi check na mimi whasApp or
Call 0657 533630















