Plots for sale in Kisemvule, Pwani

Amenities
Description
Msiniulize kuhusu kiremba kichwani… wateja wamenikurupusha….
Tupo site leo mvua imenyesha lakini bado watu wamekuja kukagua viwanja….
Viwanja vipo KISEMVULE, njia panda ya kibamba… KILWA ROAD MBELE YA MBAGALA
Bei ya kiwanja hapa inaanzia MIL 1.6 tu
Tupigie simu 0785367831















