Plots for sale in Mbezi Kwa Msuguli, Dar Es Salaam sqm 200

Plot Size
200 SQM
Amenities
Description
Viwanja vizuri sanaa vinakatwa vimebaki vichache ndugu mteja wai fastar usije kosa
Viwanja vzr tambarare sanaa uchimbi unamwaga tufari na kujenga tu
Viwanja vina documents za mauziano kutoka serikali za mtaa
Viwanja Ukubwa 20x10 bei milioni 16 maongezi ukitaka zaidi wewe tu eneo kubwa
Ukubwa wa 20×10 vinavotazama barabara kujenga fremu milioni 26
Ukubwa wa 40×20 milioni 40
Viwanja vinafaa kujenga apartments za biashara au makazi binafsi
Kutoka lami hadi saiti dakika 1 tu barabara inafikika wakati wote
Location mbezi kwa msuguli km 1.5 usafiri bajaji 500 unashukia saity kabisa
Mawasiliano
0713661530_0783661530















