Residential Plot for Sale in Bigwa, Morogoro (1050 sqm)

Type
Residential Plot
Plot Size
1050 SQM
Amenities
Description
🏡 𝐊𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐊𝐈𝐍𝐀𝐔𝐙𝐖𝐀 – BIGWA, MOROGORO 🏡
📍 𝐄𝐍𝐄𝐎 : Bigwa, Morogoro 💰 𝐁𝐄𝐈: TSh 20,000,000
Fursa nzuri ya kumiliki kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi na lenye mazingira mazuri ya makazi na uwekezaji.
✅ Ukubwa: Mita 30 × 35 ✅ Maji yanapatikana ✅ Umeme upo karibu ✅ Miundombinu rafiki na barabara nzuri ✅ Eneo salama na lenye maendeleo mazuri ✅ Linafaa kwa makazi, nyumba za kupangisha au uwekezaji wa baadaye.✅
Usikose nafasi hii ya kupata kiwanja katika moja ya maeneo yanayoendelea kwa kasi mjini Morogoro.
📞 𝐌𝐀𝐖𝐀𝐒𝐈𝐋𝐈𝐀𝐍𝐎 𝐙𝐀𝐈𝐃𝐈: 0678-517 158 /0785-517 158
𝐍𝐁: Visit site fee 30,000/=
Karibu ukajionee eneo na ujihakikishie fursa hii kabla halijachukuliwa.📌







