Search

Residential Plot for Sale in Fukayosi, Pwani

 media -1
media -1
Fukayosi, Pwani
22 days ago
Sh. 15,000/sqm

Type

Residential Plot

Residential Plot for sale in Fukayosi

Nearest Road

100m — Bagamoyo-Msata Road

Amenities

Description

📍 FUKAYOSI – BAGAMOYO
Fursa ya kumiliki kiwanja chako imefika! 🏡✨
✅ Bei ni TSh 15,000 kwa mita ya mraba
✅ Mita 100 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo–Msata
✅ Kinafaa kwa ujenzi wa makazi
✅ Eneo lenye ukuaji wa kasi na thamani inayoongezeka kila siku.
Usikose nafasi ya kuwekeza leo kwa ajili ya kesho bora. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga kutembelea eneo. 📞