Search

Residential Plot for Sale in Goba Center, Dar Es Salaam (900 sqm)

Sh. 700,000,000

Description

Karibu sana ndugu mteja🙏🏾
✨Kiwanja kikali mnoo pazuri sana panafaa kujenga nyumba ya ndoto zako au kuwekeza apartments

✨Ukubwa wa kiwanja: SQMT 900

✨Location: Goba center

✨Barabara tambalale sana kwa aina yoyote ya gari

✨Bei : Million 700 (maongezi yapo kidgo)

✨Umbali kutoka lami kilometer 1

✨Umiliki: Mmoja

✨Documents: Hati miliki

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:

Dalali wa Makongo,sinza, Ubungo,mikochen,mbez beach,Goba,Mbweni

abbymajumba_tz

@abbymajumba_tz

View Listings

Similar properties in Goba, Dar Es Salaam

Dalali wa Makongo,sinza, Ubungo,mikochen,mbez beach,Goba,Mbweni