Residential Plot for Sale in Goba Maghorofani, Dar Es Salaam (900 sqm)
Goba, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 155,000,000
Amenities
Description
Wahi mapema Karibu ndugu mteja
✨Kiwanja kikali mnoo pazuri sana pia karibu na barabaran panafaa kujenga nyumba ya ndoto zako au kuwekeza apartments
✨Ukubwa wa kiwanja: SQMT 900
✨Location: Goba Maghorofani
✨Barabara tambalale sana kwa aina yoyote ya gari
✨Bei : Million 155 (maongezi yapo kidgo)
✨Umbali kutoka lami Dakika tano kwa mguu
✨Mmiliki: Mmoja
✨Documents: Upimaji
karibu sana boss wangu
📶
📶 ya WHATSSAP















