Residential Plot for Sale in Kibamba Shule, Dar Es Salaam (1759 sqm)

Type
Residential Plot
Plot Size
1759 SQM
Amenities
Description
Kiwanja kizuri balaa na kikubwa sana kinauzwa KIBAMBA SHULE mwisho wa lami mpya
Kina ukubwa wa SQMT 1759
Bei 💰 Mil 70 Maongezi kidoogo yapo
Kimepimwa na kina hati miliki kutoka wizara ya Ardhi
Kiwanja mkeka balaa huhitaji kuchonga hapa
Changamkia fursa ndugu mteja
Kupelekwa site 30,000/=
Contact:
0654 101710
0787 205300















