Search

Residential Plot for Sale in Kigamboni Buyuni, Dar Es Salaam (616 sqm)

Sh. 6,160,000

Description

๐Ÿก MRADI WA KIGAMBONI โ€“ BUYUNI ๐ŸŒด

Fursa adimu ya kumiliki kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi!

Je, unatafuta sehemu salama ya kujenga nyumba yako au uwekezaji wenye faida? Hiki ndicho kiwanja unachokitafuta!

๐Ÿ“ Location: Kigamboni โ€“ Buyuni
๐Ÿ“ Ukubwa: SQM 616
๐Ÿ’ฐ Bei ya Cash: TSh 6,160,000
โš ๏ธ Kimebaki kiwanja kimoja tu!

Faida za eneo:
โœ… KM 2.5 kutoka ufukwe wa bahari
โœ… KM 2.5 kutoka barabara kuu
โœ… KM 40 kutoka Kigamboni Ferry
โœ… Barabara zinapatikana na eneo linafikika kwa urahisi
โœ… Eneo linaendelea kupanda thamani kutokana na maendeleo makubwa yanayoendelea Kigamboni

Hiki ni kiwanja kinachofaa kwa:
๐Ÿ  Kujenga makazi
๐Ÿ’ผ Uwekezaji wa muda mrefu
๐Ÿ’ฐ Kuhifadhi thamani ya fedha zako

Usikose nafasi hii! Kwa bei hii na eneo hili, kiwanja kinaweza kuuzwa wakati wowote.

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na kupanga kutembelea eneo.

๐—ฅ๐—ฒ๐—ฎ๐—น ๐—˜๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐—ฒ. ๐—Ÿ๐˜‚๐˜…๐˜‚๐—ฟ๐˜†.

๐—ฆ๐—ฐ๐—ผ๐—น๐—ฎ๐˜€๐˜๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ ๐— ๐˜€๐—ผ๐—ณ๐—ฒ, ๐—ฅ๐—˜๐—”๐—Ÿ๐—ง๐—ข๐—ฅยฎ๏ธ
Commercial | Residential | Affordable | Industrial | Beach Plots

Oasis Real Estate Company Limited
๐Ÿ“ฒ +255 716 18 77 47
๐Ÿ“ง [email protected]
๐Ÿ“ 5th Floor, Dora Tower, Mwenge, Tanzania

#Viwanja #KigamboniBuyuni #Buyuni #ViwanjaVinauzwa #LandInvestment RealEstateTanzania OasisRealEstate ArdhiYakoUrithiWako InvestEarly HatiNiUhakika AffordablePlots Kigamboni

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam

Residential Plot for Sale in Kigamboni Kisarawe II, Dar Es Salaam (477.8 sqm)

Sh. 20,000/sqm

For Sale477.8 sqmNegotiableInstallment
Residential Plots for Sale in Kigamboni NSSF, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 60,000/sqm

For Sale500 sqmNegotiableInstallment