Residential Plot for Sale in Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam

Amenities
Description
π‘ KIWANJA KINAUZWA β KINYEREZI MWISHO
π₯ Fursa nzuri ya kumiliki kiwanja kwenye eneo linalokua kwa kasi!
π Kipo Kinyerezi Mwisho
πΆ Takriban dakika 5 tu kutoka barabara ya lami na hatua chache kutoka barabara ya mtaa.
β
Eneo ni zuri kabisa
β
Kina fence tayari upande mmoja
β
Majirani wamejenga nyumba za kisasa
β
Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana kwa urahisi
β
Kinafaa kwa makazi binafsi au uwekezaji wa baadaye
π° Bei: Milioni 70 tu
πΌ Service charge / Gharama ya huduma: 30,000/=
π Muhitaji piga: +255 688 412 890
Karibu ndugu mteja tufanye biashara. π€π½π‘















