Residential Plot for Sale in Tegeta A, Dar Es Salaam (3000 sqm)
Type
Residential Plot
Plot Size
3000 SQM
Amenities
Description
š„ KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA TEGETA A! š„
Unatafuta kiwanja kikubwa na cha kimkakati kwa ajili ya kujenga mjengo wa kifahari au uwekezaji? Hii hapa fursa adhimu haitakiwi kukupita!
š SIFA ZA KIWANJA:
š Ukubwa: SQM 3,000 (Ukubwa wa kutosha miradi au makazi)
š Location: Njiapanda Tegeta A
š£ļø Kinafikika kwa urahisi sana
š³ Mazingira mazuri, ya amani na yenye upepo mwanana
ā” Huduma zote za kijamii zipo karibu (Maji, Umeme n.k.)
š° BEI: Tsh 240,000,000/= (Maongezi yapo)
š SITTING VIEW: Tsh 30,000/=
š PIGA SIMU / WHATSAPP:
š Wahi mapema ujipatie eneo hili kabla halijachukuliwa!






