Search

Residential Plot for Sale in Tegeta Wazo, Dar Es Salaam (4500 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 100,000/sqm

Description

Kiwanja kinauzwa. Kipo Tegeta Wazo,Mashamba ya Jeshi.

Ukubwa wa Kiwanja
Sqm 4500

Bei kinauzwa sqm 1 laki 1

Kinaangalia barabara kubwa ya mashamba ya jeshi inayowekwa lami hivi Karibuni

Gharama ya kuona ni 20,000/=

Wasiliana nami kwa
0718 809 744
0784234971

Karibuni Sana