Residential Plot for Sale in Uroa, Zanzibar - Unguja South (3000 sqm)







Zanzibar, Zanzibar
2 days ago
Sh. 25,000,000
Amenities
Description
Eneo linauzwa UROA
Ukubwa ni 50m kwa 60m
Njia ya kufika gari hadi katika eneo umeme upo na maji yapo
Unaweza kujenga hadi nyumba 4 zenye fence
Maeneo ni mazuri tayari majirani wapo wameanza kujenga
Umbali kutoka barabara kuu ni kama dakika 10 kutembea
Bei ya kienyeji 25M Tanzania shillings
Kama unataka kuekeza katika viwanja hii ni fursa kwako ni sehemu inayokuja kwa kasi katika maendeleo
Number yangu ni WhatsApp +255625404958















