Residential Plots for Sale in Kibaha Maili Moja, Pwani
Type
Residential Plot
Nearest Road
900m — Maili Moja – Baobab/Mapinga Road
Installment
Available
Amenities
Description
🏡 JE, UPO TAYARI KUMILIKI ARDHI YENYE THAMANI INAYOKUA KILA SIKU?
📍 KIBAHA MAILI MOJA ndiyo fursa unayoisubiri!
📌 Eneo lipo mita 900 tu kutoka Barabara ya Lami (Maili Moja – Baobab/Mapinga Road), mahali penye maendeleo ya haraka na thamani ya ardhi inayoongezeka kila mwaka.
🌟 Kwa Nini Uchague Kibaha Maili Moja?
✅ Viwanja vimepimwa na kuidhinishwa
✅ Maji yanapatikana
✅ Umeme upo karibu
✅ Barabara za ndani zimefunguliwa vizuri
✅ Eneo lina mazingira bora ya makazi na uwekezaji
💰 Anza Kumiliki kwa TZS 11,000,000 Tu!
💳 Malipo Rahisi
✔ Lipa 50% tu kuanzia
✔ Kamilisha salio ndani ya miezi 6
🚗 SITE VISIT NI BURE!
Njoo ujionee maendeleo ya eneo, chagua kiwanja chako na uanze safari ya kumiliki mali isiyopungua thamani.
📍 Miradi Mingine Inayopatikana
🏘 Kibamba Shule
🏘 Kibaha Visiga
🏘 Bagamoyo Kerege
🏘 Kigamboni Kimbiji Puna
🏘 Kigamboni Mwembe Mdogo
🏢 Ofisi: Mwenge Bamaga, Dora Tower – 4th Floor
📞 0626 783 900
📞 0768 579 000
📲 Piga Simu au Tuma WhatsApp Sasa!
🔥 Usisubiri bei zipande ndipo uanze kutafuta kiwanja. Chukua hatua leo, linda kesho yako kwa uwekezaji wa ardhi.
Perfect Property Co. Ltd – Committed to Excellence.
#PerfectProperty #KibahaMailiMoja #WekezaLeo #ArdhiNiMali #realestatetanzania















