Search

Residential Plots for Sale in Kigamboni Vumilia Ukooni - Mwembemdogo, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 18,000/sqm

Description

MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO 0767053517

๐Ÿ‘‰๐ŸฝViwanja vimepimwa na vina bacon zinazotambulika na wizara ya ardhi

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ2.Km toka Barabara kubwa ya mwembemdogo iliyo chini ya Tarura iliyo kwenye mpango wa Lami.

๐Ÿ‘‰๐ŸฝGood neighborhood (majirani watu wa bandari TPA).kiufupi ni mji wa kishua.

๐Ÿ‘‰๐ŸฝHuduma za kijamii zipo,uzuri ni kwamba hapa ukichimba kisima kina kigupi maji ni ya baridiiiiiiiiiii hakuna chumvi kabisa.

๐Ÿ‘‰๐ŸฝBei elekezi hapa tumesusa kwa ;-
Malipo ya cash: 18,000/=
Malipo ya installment :20,000/=

๐Ÿ‘‰๐ŸฝSite visit ni bureeee kabisa na ni kila siku .

๐Ÿ‘‰๐ŸฝUzuri ni kwamba kwetu sisi Hatimiliki ni uhakika na kwa haraka.

TUNAPATIKANA MWENGE-BAMAGA JENGO LA DORA TOWER 4th FLOOR

AU TUPIGIE KWA NAMBA 0767053517

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam