Residential Plots for Sale in Kitelela, Dodoma (1077 sqm)

Amenities
Description
Ushauri wa Bure Kabisa kutoka Kwetu PIC : Kwanini Unapaswa kununua Kiwanja Dodoma na haswa eneo la Kitelela, Msalato Airport Mwaka huu?
Watu wengi wanafikiri kununua Kiwanja Dodoma ni gharama sana , wengine wanahofu sana na kutapeliwa, wengine basi hawana taarifa sahihi, ukweli ni kwamba ukiwekeza na Kampuni na watu sahihi ni rahisi sana .
Kama Mkurugenzi na kama Mkazi wa zaidi Miaka 10 sasa nimeona jinsi Dodoma inavyochanua, kununua Kiwanja sasa hivi Dodoma sio anasa bali uwekezaji haswa, ni kweli Kiwanja Dodoma ni sawa na kununua dhahabu kwa bei ya shaba.
Kwetu viwanja ni bei poa sana , fanya hizi
Piga Simu , Chagua Kiwanja , Twende Site , Angalia nyaraka, Lipia!
Haya fuatilia video chini na kuna viwanja hapo kwa 12 M tu unalipia kwa awamu Ukubwa ni 1077 SQM , 1128 SQM na 1105 SQM
Simu iite hapa 0712376898 Dodoma
0786611014 Dar es Salaam















