Residential Plots for Sale in Madale Kwa Kawawa, Dar Es Salaam (400 sqm)

Madale, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 26,000,000
Amenities
Description
Viwanja vizuri Sana vinauzwa:
Zipo plot 4 Tu za kuwahi Sana
Ukubwa-sqm 400 26m maongezi
Ukubwa, sqmt 500 589 561 bei 36 milion maongezi
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Location - madale Kwa kawawa
Umbali- km 2 kutoka main road njia ni safi
Piga simu 0711258592















