Residential Plots for Sale in Ntyuka, Dodoma



Type
Residential Plot
Installment
Available
Amenities
Description
🔥SQM 1 ni 11,500 tu. offer inaelekea kuisha usipitwe.
🔥Km 7-10 tu kutoka Dodoma Mjini
Km 3 kutoka SGR
✅️ jukumu la kufatilia hati HATI ni juu yetu na ni ndani ya muda mfupi sana.
✅️malipo ya awamu yanaruhusiwa
👌Ringroad ya kati imepita karibu sana na viwanja hivi
✔️✔️Bei ya 11,500 TSH kwa SQM ni offer ya muda. Baadhi ya viwanja tayari vimeuzwa, lakini bado una nafasi ya kupata chako.
✔️✔️Usisubiri hadi bei ipande au viwanja viishe. Chagua kiwanja kinachokufaa tukutumie ramani .
⭐️Iwe ni kwa kujenga nyumba, biashara au uwekezaji wa baadaye, NTYUKA ndiyo sehemu sahihi kuanzia.
Piga simu leo, tembelea site, chagua kiwanja chako na anza kulipa.
📞📲 0681 904 388
Markland Professionals & Real Estate Co. Ltd – Tunauza viwanja vizuri, kwa bei nafuu na huduma 10/10
#viwanjavizuridodoma #beiyaoffer #dodoma #ntyuka #beirahisi















