Search

Residential/Commercial Plot for Sale in Iyumbu, Dodoma

Iyumbu, Dodoma
3 hours ago
Sh. 28,000,000

Description

Plot for sale mtaa wa mwinyi
Jirani na shule ya msingi
Iyumbu au secondary
Au ofisi ya kata iyumbu
Zahanati ya iyumbu
Kiwanja Cha makazi na biashara
Jenga fremu za biashara
Au lodge apartments
Nk
Document hatimiliki
Bei ml 28 TU
Km 2 mpaka lamii
Au sheli iyumbu
Bila kusahau ni barabara
Itakayo pitisha dala dala
Kuelekea mjini maana
Stendi ya dala dala ni
Kwa mbele TU
Karibu tukuhudumie 🔥🔥

Dalali Msomi Dodoma

dalali_msomi_dodoma0672312302

@dalali_msomi_dodoma0672312302

View Listings
Dalali Msomi Dodoma