Search

Residential/Commercial Plot for Sale in Ntyuka Mhande, Dodoma (413 sqm)

 media -1
media -1
Ntyuka, Dodoma
8 hours ago
Sh. 3,000,000

Amenities

Title Deed
Near Paved Road

Description

CORNER PLOT NZURI – NTYUKA MHANDE DODOMA

❓ Je unahitaji kiwanja cha kwenye kona kwa ajili ya makazi na biashara?
❓ Unaweza kujenga nyumba na mafremu hapo ukapata kodi💰

✅ Location: Ntyuka Mhande – Dodoma
✅ Ukubwa: SQM 413
✅ Matumizi: Makazi na Biashara
✅ Kipo km 12 kutoka Dodoma mjini
✅ Kipo km 1 tu kutoka Ring Road (Lami)
✅ Mountain view plot

💰 Bei ya Cash + HATI: Milioni 3 tu

AU

💳 Lipa kwa awamu:
➡️ Milioni 3.5
➡️ Kianzio Milioni 1 tu
➡️ Malizia ndani ya miezi 10

🔥 Changamka tajiri, fursa kama hizi hazidumu!

Similar properties in Ntyuka, Dodoma