Retail Space for Rent in Kijitonyama, Dar Es Salaam
Kijitonyama, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 450,000/month
Amenities
Near Road
Service Charge
Description
FREM INAPANGISHWA – KIJITONYAMA 🔥
Unatafuta eneo zuri la biashara? Hii hapa!
Frem nzuri sana inapangishwa Kijitonyama, ipo sehemu yenye muonekano mzuri na mazingira rafiki kwa biashara yoyote.
💰 Bei: 450,000/= kwa mwezi
📍 Location: Kijitonyama – sehemu nzuri sana ya biashara
💼 Inafaa kwa biashara mbalimbali
🧾 Service charge: 30,000/=
Usikose nafasi hii!
📞 Call: 0787093748















