Retail Space for Rent in Mabibo, Dar Es Salaam
ID: 2609046HKLA

Mabibo, Dar Es Salaam
19 hours ago
Sh. 500,000/month
Description
🔥 FREM KUBWA INAPANGISHWA – MABIBO 🔥
Hii ndiyo nafasi sahihi kwa biashara yako kukua! 🚀
Frem kubwa sana yenye location ya nguvu na muonekano unaovutia wateja mara moja 👌
📍 Mabibo
💰 Bei: 700k kwa 500k kwa mwezi
🏢 Frem kubwa sana yenye space ya kutosha
🛣️ Inatazama lami moja kwa moja
🌟 Mazingira mazuri na salama kwa biashara
📈 Eneo lina movement kubwa ya watu na biashara
✅ Inafaa kwa biashara yeyote
💼 Service Charge: 30K tu
Usichelewe kuchukua nafasi hii ya kipekee kwenye eneo lenye biashara zinazokua kila siku!
📞 Call:










