Search

Retail Space for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 600,000/month

Description

✨ FREM INAPANGISHWA – SINZA ✨

Frem nzuri sana inapangishwa maeneo ya Sinza πŸ“
🏒 Muonekano wa kisasa kabisa
βœ… Ipo sehemu nzuri sana ya biashara
βœ… Inafaa kwa biashara yeyote
βœ… Mazingira mazuri na panafikika kwa urahisi

πŸ’° Bei: 600,000/= kwa mwezi
🧾 Service Charge: 30,000/= tu

πŸ“ž Call 0787093748 kwa maelezo zaidi na viewing.