Retail Space for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

Description
🔥 FREM INAPANGISHWA – SINZA 🔥
Bei: 300,000/= kwa mwezi
Service Charge: 30,000/= tu
Frem nzuri sana ipo Sinza kwenye mazingira bora ya biashara 👍
Inafaa kwa biashara yeyote na eneo lina muonekano mzuri pamoja na movement ya uhakika kwa wateja.
âś… Sehemu nzuri ya biashara
âś… Inafaa duka, office, salon na biashara nyingine nyingi
âś… Panafikika kwa urahisi
Wahi sasa nafasi ni chache! 🔑
📞 Call: 0787093748















