Search

Retail Space for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000/month

Amenities

Near Paved Road
Near Road
High Visibility
Service Charge

Description

FREM KUBWA INAPANGISHWA – SINZA πŸ”₯

Frem nzuri na kubwa inapangishwa Sinza, ipo barabara ya Shekilango (inatazama moja kwa moja road) eneo lenye mzunguko mkubwa wa watu na magari, nafasi nzuri sana ya biashara kukua.

Inafaa kwa biashara yoyote kama duka, ofisi, pharmacy, salon, mini supermarket, showroom na nyingine nyingi.

πŸ’° Bei: 500,000/= kwa mwezi
πŸ“ Sinza – Shekilango Road
✨ Frem kubwa, safi na ya kuvutia
πŸš— Inatizama barabara moja kwa moja (high visibility)
πŸ’΅ Service Charge: 30,000/-

πŸ“ž Mawasiliano: 0787093748