Retail Space for Rent in Sinza Mori, Dar Es Salaam
Sinza, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 1,500,000/month
Type
Retail Space
Installment
Available
Amenities
Near Paved Road
New ConstructionDescription
🏡 FRAME KUBWA MPYA INAPANGISHWA – SINZA MORI
✨ Inatazama barabara ya lami
📍 Location: Sinza Mori
💰 Kodi: TSH 1.5M kwa mwezi
✅ Nyumba ni mpya kabisa
✅ Wanaruhusu kulipia miezi 2 ya awali + commission ya wakala ili kushikilia nyumba.
✅ Malipo yaliyobaki ya miezi 6 yanakamilishwa nyumba inapokuwa tayari kwa kuhamia.
📞 Wahi kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga viewing.















