Farm for Sale in Dunga, Zanzibar - Unguja South (1.5 acre)







Zanzibar, Zanzibar
12 hours ago
Sh. 160,000,000
Amenities
Description
SHAMBA LINAUZWA DUNGA
#unguja #zanzibar
Umbali Mpaka Barabarani Mita 300
Area: 1.5 acres
MITI ILIYOMO
Midimu 160
Miparachichi 35
Miembe 45
Minazi 41
Pia imo migomba, mipera ya kisasa, michenza, mistafeli, mikomamanga na mishoki shoki 🫠
ZIADA
Kisima
Umeme
Water pump mbili Mabomba ya kumwagilia
Mahodhi ya kuhifadhia maji (40,000) litres
Mabanda ya kuku
Stoo
Nyumba ya mfanya kazi
Matumizi (business/projects)i: kilimo na
Mifugo,
Kiwanda cha biashara ya maji) etc
Bei Tsh 160m
What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake


