Farm for Sale in Gwata, Morogoro (20 acre)

Amenities
Description
🌿 𝐅𝐔𝐑𝐒𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐏𝐄𝐊𝐄𝐄 𝐘𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐊𝐄𝐙𝐀𝐉𝐈 – SHAMBA LA 𝗛𝗘𝗞𝗔 20 LINAUZWA 𝗚𝗪𝗔𝗧𝗔,𝗠𝗢𝗥𝗢𝗚𝗢𝗥𝗢 🌿
Je, unatafuta shamba lenye 𝗺𝗮𝗷𝗶 𝘆𝗮 𝘂𝗵𝗮𝗸𝗶𝗸𝗮, linalofaa kwa kilimo cha kisasa, ufugaji au uwekezaji wa muda mrefu? Hii ndiyo fursa unayoisubiri!
📍 𝗠𝗮𝗵𝗮𝗹𝗶: Kata ya Gwata, Morogoro.
📏 𝗨𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮: Heka 20.
🚗 𝗨𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶: Kilomita 6 tu kutoka barabara ya gari, ukiwa na barabara nzuri inayofikika mwaka mzima.
🌊 𝗙𝗮𝗶𝗱𝗮 𝗞𝘂𝗯𝘄𝗮: Shamba limepitiwa 𝗻𝗮 𝗺𝘁𝗼 usiokauka mwaka mzima, hivyo lina uhakika wa maji kwa shughuli za kilimo cha umwagiliaji, ufugaji na miradi mingine ya uzalishaji.
💰 𝐁𝐄𝐈 𝐘𝐀 𝐎𝐅𝐅𝐄𝐑: 𝐓𝐒𝐇 Milioni 17 tu kwa 𝗵𝗲𝗸𝗮 𝘇𝗼𝘁𝗲 20!
✅ Linafaa kwa: 🌱 Kilimo cha mazao ya biashara na chakula mwaka mzima.
💧 Kilimo cha umwagiliaji kutokana na mto wa kudumu.
🐄 Ufugaji wa ng'ombe, mbuzi, kondoo na kuku.
🌴 Upandaji wa miti ya biashara, bustani za matunda na miradi mingine ya uwekezaji.
📈 Uwekezaji wenye thamani kubwa kwa sasa na siku zijazo.
📞𝗞𝘄𝗮 𝗺𝗮𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗼 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶: zaidi:
𝗗𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗠𝘀𝗵𝗶𝘂
☎️ 0785-517158
☎️ 0785-517158
🚜 Ada ya kutembelea na kuoneshwa shamba ni TSh 100,000/=
𝗨𝘀𝗶𝗸𝗼𝘀𝗲 𝗳𝘂𝗿𝘀𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗺𝗶𝗹𝗶𝗸𝗶 𝘀𝗵𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗹𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗺𝘁𝗼 𝘂𝘀𝗶𝗼𝗵𝗮𝘂𝗸𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝗺𝘇𝗶𝗺𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗯𝗲𝗶 𝗻𝗮𝗳𝘂𝘂.𝗪𝗮𝗵𝗶 𝗸𝘂𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮𝘀𝗶 𝘀𝗮𝘀𝗮.!







