Farm for sale in Kabuku, Tanga acre 500








Kabuku, Tanga
9 hours ago
Sh. 1,500,000,000
Plot Size
500 ACRE
Nearest Road
5km
Amenities
Description
*Shamba la Ekari 500 linauzwa Kabuku WILAYA ya Handeni, Tanga*
❇️Distance: Shamba lipo umbali wa kilometer 5 kutoka barabara kuu ya Dar to Arusha/Tanga
✅Shamba lina miti ya matunda ya miembe ambayo inazaa tayari
✅Shamba ni tambarare na lina udongo wenye rutuba na linaweza kubadilishwa kwa matumizi mengine yoyote
✅Shamba lina visima vitatu virefu vya maji
✅Shamba lina Godown, pia lina umeme hadi ndani ya shamba.
✅Plot size Ekari 500
✅Document: Title Deed
*Bei shilingi Bilioni 1.5 maongezi yapo*



