Search

Farm for Sale in Makurunge, Pwani (2 acre)

video thumbnail
Makurunge, Pwani
2 hours ago
Sh. 25,000,000

Amenities

Free Site Visit
Chicken Coop
Local Government Title Deed
Banana Trees
Mango Trees
Cashew Trees

Description

Shamba linauzwa bagamoyo
Location: Makurunge
__
Shamba lina ukubwa wa heka 2

Shamba lina banda la kuku, Kuna nyumba ya vyumba 2 chumba kimoja master na sebule, choo cha nje
__
Lipo umbali wa kilometa 4 kutola Makurunge

Kuna midizi, miembe, mikorosho

Kama unaitaji shamba kwa jili ya kufuga na kilimo ili shamba ni nzuri sana linafaa
__
Document: Hati miliki ya serikali za mitaa
__
Service chaji elfu 30
Bei: milioni 25
__
Site visit ni kila siku unapopata muda tu piga simu utapelekwa site

☎️ Call and WhatsApp +255713928950

#dalali_bagamoyo
#bagamoyoproperty
#realestatetanzania