Farm for Sale in Mkata, Tanga (300 acre)





Mkata, Tanga
3 days ago
Sh. 120,000/acre
Description
Ofa ofa kwako mkulima na mfungaji Leo nawaletea shamba la ukubwa wa ekari 300 Kwa bei ya ofa shamba lipo mkoa wa morogoro kijiji cha mkata njia kuu ya iringa road shamba halijasafishwa Lina miti bado shamba linauzwa Kwa laki na ishirini Kwa kila ekari moja shamba lipo kilometa 1 na nusu Tu kutoka barabara kubwa ya lami ya iringa road au mikumi shamba halina shida yoyote biashara IPO wazi njoo ujipatie shamba hili Kwa bei ya ofa kabisa tunauza kuanzia ekari 50 zipo ekari 300 aridhi NI nyeusi shamba tambarare halina milima wala mabonde karibu mno Kwa mawasiliano zaidi piga

