Farm for Sale in Mwarusembe Mkuranga, Pwani (2 acre)

Mkuranga, Pwani
3 days ago
Sh. 6,000,000/acre
Amenities
Near Paved Road
Description
Ndugu mwekezaji,
Karibu ujipatie shamba heka 2 km 1 tu kutoka lami kwa bei mil 6 kwa heka..
Shamba zuri lina mazao mengi…linafaa wewe mkulima au mfugaji
Heka 2 zinauzwa zote bei yake Tsh mil 6 kwa heka jumla bei Tsh 12m maongezi yapo kidogo sana…
Shamba lipo MWARUSEMBE MKURANGA……
Tupigie simu 0785367831




