Search

Farm for sale in Sungwi, Masaki, Kisarawe, Pwani acre 30

video thumbnail
Kisarawe, Pwani
5 hours ago
Sh. 300,000,000

Plot Size

30 ACRE

Nearest Road

3km

Description

SHAMBA LENYE HATI EKARI 30,TZS.300 MILIONI,SUNGWI,MASAKI,KISARAWE.

Ni umbali wa jumla wa kilomita 60 kutoka Dar mijini.
Kisarawe-Mijini hadi Shamba ni kikomita 27.
Na kilomita 3 tu kutoka Barabara/LANI inayoelekea MSANGA.

Ardhi nzuri tambarare yenye rutuba.
Shughuli unazoweza kufanya hapa ni pamoja na;
Kilimo, Ufugaji, Kiwanda,Shule nk.

Ndani yake kuna miti ya kudumu iliyokomaa kama Miembe,Michikichi, Minazi na,Mikorosho.

UMILIKI NI HATI (Title Deed) ya Wizara.

VIZURI HAVIKAI. WAHI.

______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

______________zw

Similar properties in Kisarawe, Pwani