Shop for Rent in Kijitonyama, Dar Es Salaam

Amenities
Description
Fremu Inapangishwa – Kijitonyama
Fremu nzuri inapangishwa eneo la Kijitonyama, sehemu yenye biashara nzuri na inayofikika kirahisi.
📍Inafungwa Milango ya kioo Ya kisasa✅
💰 Bei: TSh 400,000 kwa mwezi
✔️ Inafaa kwa biashara mbalimbali
✔️ Karibu na barabara kuu
✔️ Mazingira mazuri ya biashara
📞 Wasiliana: 0685303121
💵 Service charge: 30,000
Chukua nafasi hii sasa kabla haijachukuliwa!















